Selfika na JF: Snap it. Show it

JS huwa naitazama, ila uzuri wake unaweza itumia fanya mambo mengi sana na ukamaliza mchezo, bila kuweka mzigo mzito kwenye backend.

PHP , Rahisi kwa hacker kupita nayo. Lakini pia kumekuwa na backend language zinafanya vizuri zaidi ya PHP ni light na zipo na feature nzuri za ki usalama. Ingawa PHP ukikuta mtu anae ijua kui secure ni bonge la language
 
TV show ya watoto 😅😅😅 na wewe unaangaliaga channel ya ‘Nickeledeon’? ni show ya kitambo kidogo
😂😂 Dah, sasa na mie nikataka nifahamu hio TV show ilikuaje imeku inspire kiasi hiko, so i was trying to be curious,

Kumbe ya watoto 😲😳😂
Ningeitafuta nikakaa serious tayari kuitazama mtu mzima na ndevu zangu, na bundle niliotumia, ningekutafuta unilipe 😂
 
JS ni🔥🔥🔥
Nimekusoma, Python pia ni bonge la language.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…