Selfika na JF: Snap it. Show it

Ongeza na juice ya Rozelle,damu itapanda Kwa haraka zaidi.Mimi ninayo ndani natumia mara Kwa mara

Majani yake yanapatikana Kwa urahisi Sana km upo Dar na fungu la buku unapata juice nyingi sn.Mara kadhaa nayatumia kutengenezea wine [emoji485]
Ninayo hapa.
Hivi ni ipi njia nzuri ya kutengeneza juice?
Kuloweka au kuyachemsha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…