😃😃Sio kila fundi garage ana gari, na sio kila ukimpenda mwanamke anakuwa wako. Nayapenda tu magari, siku moja nikipata na mie pesa nanunua langu.. nitapost na vi picha labda naweza pata mpenda magari ,😄😄😄😄 maana najua Depal anapenda muungurumo kama wa simba.. akisikia muungurumo atanifikiria kidogo
Angeniambia mwingine ningeselfika Ila siyo wewe,najua lengo lako ni kunitoa kasoro[emoji28][emoji28]Selfika nikuone basi,, mkaka handsome
😁😃😃 utaishia mapajani bana 🙈 kimuhemuheee kitakuponzakanakudanganya, hapo kananitamani kweli kweli kanionje na mie na mtunzia mke wangu 😄😄😄😄
Bibi yenu nipo naye hapa, tuna miaka 45 ya kuwa pamoja kwahiyo tumeshafanana na kufanana 🤪🙈🏃🏃Nakuja babu
Ila isije kua unakula raha na mchepuko af bibi yetu umemuacha home anakula ugali dagaa
Kristoo 🙃Angeniambia mwingine ningeselfika Ila siyo wewe,najua lengo lako ni kunitoa kasoro[emoji28][emoji28]
Hili ni tatizo kubwa sn..Ni wakati wa kuvuta jiko huu maana kupika ni tatizo kubwa sn kwangu[emoji28]Naona dagaa wapo mtoni bado[emoji23]
Nini tena ankoli[emoji28][emoji28][emoji23] [emoji23] [emoji23] Sawasawa..
Huko kote umenipendelea, kitaishia mlangoni, nikiona rangi ya paja tayari nitakirusha hadi kipasue kioo 😄😄😄 maana miaka yote mayonaizi imejirudika tuuu .😁😃😃 utaishia mapajani bana 🙈 kimuhemuheee kitakuponza
Sawa sawaSio kila fundi garage ana gari, na sio kila ukimpenda mwanamke anakuwa wako. Nayapenda tu magari, siku moja nikipata na mie pesa nanunua langu.. nitapost na vi picha labda naweza pata mpenda magari ,[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] maana najua Depal anapenda muungurumo kama wa simba.. akisikia muungurumo atanifikiria kidogo
Nimeona mboga iko poa....Nini tena ankoli[emoji28][emoji28]
Tumaini letuKristoo [emoji854]
Kabisa[emoji28][emoji28]Nimeona mboga iko poa....
🤣🤣🤣roho mbaya hiiNasikia raha kuona miparanganyo
Ya mahusiano
Huyu kaachwa
Huyu katendwa
Huyu hivi
Mimi burdani sana[emoji1787]
Nikiwa mkubwa nataka kuwa kama wewe na bibi😍Bibi yenu nipo naye hapa, tuna miaka 45 ya kuwa pamoja kwahiyo tumeshafanana na kufanana 🤪🙈🏃🏃
Mmefuta picha yangu sio?Ndiyo ushajua jirani