Ndy tatizo lenu wenye maisha..Hampendi kutushirisha kwenye mbinu zenu Hadi mkafanikiwa,ili na Sisi tulambe asali
Ila nakuona kwenye nyuzi zote za magari ankoli unatoa nondo za maana..Yule jamaa wa kukataa kununua gari used za mzungu ambazo ni used from Japan sijui mlimalizana vipi ktk vita yenu,maana kila mmoja alikuwa anakaza fuvu hataki kumuelewa mwenzie