Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,567
- 235,405
Yaani hata siku moja usije washauri watu kuhusu mahusiano.Nina huyo mtu mdada alizinguana na bwana ake walikua kama wameachana kabisa haya nikajikuta mama ushauri ongea weee hee hata mwezi haujaisha wamerudiana, mimi sasa ndio nikaanza kusemwa naona wivu kisa mahusiano yangu mabovu nao nataka kuwaharibia nilikomaaa [emoji23]
Wapanda daladala tunateseka sn hapa dunianiNa halafu wenye magari hawapigagi stori sana[emoji1][emoji1]
Mie huyu kiatu, mie mzee wa mapapa sandals usimini picha za humuWeee ana hiko kimoja kikali namuambiaga mara nyingi napenda kiatu chake. Au kanidanganya?
Nipo mizaniWewe ni mchawi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Jinga[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimecheka kama mwehu[emoji23].
Tulia tafuta kiti kula ugali kwanza.View attachment 2276422
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Kula is the source of umaskini na kula is the source of ku fail ,food ni kwa mwanadamu.. but sie viumbe chakula sio issue kwetu 😄😄😄😂😂😂 hivi kwanini hupendi kula?
UnanidanganyaMie huyu kiatu, mie mzee wa mapapa sandals usimini picha za humu
Hahahaha [emoji28] sidhani Mimi kajamba nani km utaniwezaNakuja kukupenda subiri hapo hapo usiondoke
Umeanza, mapenzi humea popote.Hahahaha [emoji28] sidhani Mimi kajamba nani km utaniweza
[emoji39][emoji39][emoji39]
Ukiwa huna gari, hutokaa ukapata pisi kali sahahu.. nilikuwa nalinda bar moja dar acha tu.. mambo ya pale.. kama huna gari hata beach mkali hupati anakuona kama mwiziWapanda daladala tunateseka sn hapa duniani View attachment 2276423
[emoji23]Wapanda daladala tunateseka sn hapa duniani View attachment 2276423
HamnaWale wale [emoji1787][emoji1787] mliojaaa makasiriko ya kutendwa mpk unyayoni
kweli nidanganye ili uninyime pichaUnanidanganya
Mama yalinishukaaa alaf nilimkandia vibaya shemeji yangu bwana yakamfikia kama yalivyo [emoji23] sintokaa nikarudia.Yaani hata siku moja usije washauri watu kuhusu mahusiano.
Wakipatana unaonekana wewe mwanga[emoji1787].
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
[emoji1787]Hahahaha [emoji28] sidhani Mimi kajamba nani km utaniweza
Usinitishe na kuku[emoji23]Nipo mizani
Hapo mbele kuna kuku
Na kila kitu
Bado huko Kahama
Full kujilamba ndani ya Mayele[emoji1787]
Huko ulipo napo
Utaachwa tu
Wala sio sababu hiyo [emoji23] kuhusu viatu unanidanganya. Hiko kipya ole wako ugawe sasa .kweli nidanganye ili uninyime picha
[emoji39][emoji39]Wewe ni mchawi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Jinga[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimecheka kama mwehu[emoji23].
Tulia tafuta kiti kula ugali kwanza.View attachment 2276422
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Kuna binti kanichamba huko juu,ananiambia utumie mafuta ya Nazi kwani wewe junior? Nikapita kimya kimyaHaya mazuri hata mimi natumia. Kuhusu perfume inategemea sasa mana sio wote wanapenda. Ila kwa mfano ukiwa unatumia na mwanadada akawa anavutia nayo mambo yanazidi kunoga.