Selfika na JF: Snap it. Show it

wanawake wa humu kujikuta Beyonce hamjambo.. ila uzuri tushakubaliana na hali kwamba mie binafsi hakuna mwanamke nina muweza humu wala kummudu πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ nyie ni dada zangu na mwabwana zenu ni mashemeji zangu
Sasa kama mabwana zetu ni mashemeji zako kwanini kutwa kusema mtaachana tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…