Slowly but sure ndio mpango… yanini kupakazana majasho ?Ogeeni kwenye majakuzi.. na sie twaoga kwenye pasport size.. nyie wa kishua hata kuvunjika kwa bed hamuwezi hasa sana nyie . popo kafia sokoni hamuwezi.. hata
😃😃 haya mambo utayakuta uswazi tu.. unaijua mwendo kasi kigoma ? au basiAbee umeniita?🤣🤣🤣
Utafikiri mtu kaambiwa ndio mwisho wa duniaSlowly but sure ndio mpango… yanini kupakazana majasho ?
hamjua mambo.. aaaah! ndio maana jamaa aksema mna viuno vizito kama Fuso bovu ,🤣🤣🤣🤣 sasa ndio naelewaSlowly but sure ndio mpango… yanini kupakazana majasho ?
😂😂😂😃😃 haya mambo utayakuta uswazi tu.. unaijua mwendo kasi kigoma ? au basi
Chuki binafsi tu hizo🤣🤣🤣hamjua mambo.. aaaah! ndio maana jamaa aksema mna viuno vizito kama Fuso bovu ,🤣🤣🤣🤣 sasa ndio naelewa
Unaijua wasalimie kigoma, mwenzako nimeisha oa😎😎😎😎Utafikiri mtu kaambiwa ndio mwisho wa dunia
Viuno kama kama dunia imetoka kwenye njia yake🤣🤣🤣🤣Chuki binafsi tu hizo🤣🤣🤣
Ndio ikoje😂Unaijua wasalimie kigoma, mwenzako nimeisha oa😎😎😎😎
👍👍Unataka kuona nn? Meno mie ni meupeeee!! Hayana umeru hata kidogo 🤣🤣🤣🤣
View attachment 2275728
😃😃😃 huwezi jua kabisa, haya mambo yapo huku kwetuNdio ikoje😂
Aki huendi mbinguni🤣🤣🤣🤣Viuno kama kama dunia imetoka kwenye njia yake🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣Jikazeniii kiumeee
Hata kama mwaumia
Taarabu enzi hizo
acha nikaogeshwe maji ya mdarasini.. 😎😎😎Aki huendi mbinguni🤣🤣🤣🤣
Habari ya mimi njema/salama kabisa namshukuru MUNGUPoa T 1990 ELY
Habari ya wewe
Wasalimieeeacha nikaogeshwe maji ya mdarasini.. 😎😎😎
Mungu mwemaHabari ya mimi njema/salama kabisa namshukuru MUNGU
hawana haja na salamu zemu 🤣🤣Wasalimieee
Even u dear😘Our very own photogenic 😘
😀😀😀 balaaa limekujaaViuno kama kama dunia imetoka kwenye njia yake🤣🤣🤣🤣