πππππ hapana spiderIzo dimple ndo zinakupa confidence ya kujbu ovyo waleta posa wewe
π€£π€£π€£π€£π€£Na kuscreenshot picha zetu tukipostππ
Na wapi wameandika waanwake muwe omba omba wa hela zetu ππTunawaongezea story
Vitabu vya dini vinasemaje? Hapana sehemu paliandikwa mwanamke atafute hela
πππpost tumsifieπππ nikipost kuku wangu wa kienyeji hapa.. mtakimbia wenyewe hapa ππππ
itakuwa kichwa cha news.. huko PM watu watashikana mashati ππππ acha nikause kausheeeAah wapiππ
Em tumuone
Tunawachoraaa tu ππππHalafu kutwaaaa wapo kwetu kwa sie tusiopendeza ππ
Hudumia bana π€Na wapi wameandika waanwake muwe omba omba wa hela zetu ππ
Mambo ya kuchemsha maji ya kizamaniππππ mie huyu huyuu.. nilie huku hapa kuku wa kienyeji ana pasha maji kwenye mafiga matatu.. nikaogeshwa na maji ya hiriki.. we ushawai mfanyia hivyo big boy wako ππ
Sisi wenyewe si ndio ma CEO wa snitches industry!!Tunawachoraaa tu ππππ
πππ mtamtamania bureeee ..πππpost tumsifie
kama buku ten kwa wiki sawaHudumia bana π€
Akipendeza kwa huduma atazidi kukuvutia, huba lenu litazidi stawi π₯
Hajui huyo,, jaccuzi limejaaa roses kibaoo π€£π€£Mambo ya kuchemsha maji ya kizamani
Sie twaoga kwa jakuzi
Ten per dayβ¦kama buku ten kwa wiki sawa
Ogeeni kwenye majakuzi.. na sie twaoga kwenye pasport size.. nyie wa kishua hata kuvunjika kwa bed hamuwezi hasa sana nyie . popo kafia sokoni hamuwezi.. hataMambo ya kuchemsha maji ya kizamani
Sie twaoga kwa jakuzi
Atajulia wapi na anakoga kwa ndoo na kopoππHajui huyo,, jaccuzi limejaaa roses kibaoo π€£π€£
anaitafuta yeye πππ tena kwa wikiTen per dayβ¦
π€£π€£π€£π€£Ogeeni kwenye majakuzi.. na sie twaoga kwenye pasport size.. nyie wa kishua hata kuvunjika kwa bed hamuwezi hasa sana nyie . popo kafia sokoni hamuwezi.. hata
wa kishua ndio mnasema sio vita, kwetu ni vita na mshindi lazima apatikane.. unaijua giza kupatwa na nuru wewe ? unaijua mbingu ipishe moto ushuke π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Sio vita ile ujue
Abee umeniita?π€£π€£π€£wa kishua ndio mnasema sio vita, kwetu ni vita na mshindi lazima apatikane.. unaijua giza kupatwa na nuru wewe ? unaijua mbingu ipishe moto ushuke π€£π€£π€£