Hahaha , nakuaminia Uncle[emoji2][emoji2] acha tutulie tuwatazame mashemeji zetu
Mwambie jiraniMkuu usikate tamaa kirahisi hivyo..jipe moyo hao pia binadamu na wana upendo pia..
Kweli..ila kama mwanaume, eleza hisia zako kwao..Kila mtu kuna mahali anapenda....ππ mkuu sio kirahisi hivyo.. wana Big boy wao hawa ..
ππππHahaha , nakuaminia Uncle
,πππ mkuu mie wa humu siwawezi.. nimewachia nyieKweli..ila kama mwanaume, eleza hisia zako kwao..Kila mtu kuna mahali anapenda....
[emoji3526][emoji3526][emoji847][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
Hawa wa humu ndio hao wa huko. Watu ni sisi sisi...,πππ mkuu mie wa humu siwawezi.. nimewachia nyie
πππ wa bugurini hawaijui chit chat wala jf.. mwanamke akijiunga tu JF umeisha.. atajanjaruka hukuu hatari..Hawa wa humu ndio hao wa huko. Watu ni sisi sisi...
Hivi kaka yetu wa Mbeya alishapigwa chini mazima?
Tender lips π
JiraniiiiKweli..ila kama mwanaume, eleza hisia zako kwao..Kila mtu kuna mahali anapenda....
Kichaa sana wewe hahah!
Ni kaka yetu wa Mbeya au tumtazamie mwingine?For himπ
Una lips wewe tena sio za kupoozea chai
Tender lips π
Tuwacheeeeπππ wa bugurini hawaijui chit chat wala jf.. mwanamke akijiunga tu JF umeisha.. atajanjaruka hukuu hatari..
ππππ€£π€£π€£Una lips wewe tena sio za kupoozea chai
na kweli nime waacha, sina nguvu ya kufika mlipo.. acha nipambane na mama zangu wa uswazi πππTuwacheeee
πππ Wasalimiena kweli nime waacha, sina nguvu ya kufika mlipo.. acha nipambane na mama zangu wa uswazi πππ
Popote mtu anaweza kujanjaruka .. hakuna palipo safe , iwe hapa Jf au mitaani .[emoji2][emoji2][emoji2] wa bugurini hawaijui chit chat wala jf.. mwanamke akijiunga tu JF umeisha.. atajanjaruka hukuu hatari..
hawana haja na salama zenu, mtatuharibia watu wetu bure πππππ Wasalimie
Waambie sie tupo