Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,518
- 235,235
Dada hilo shepu [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Ayaaaaaaa
Dada hilo shepu [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Ayaaaaaaa
Karma hamjui[emoji1787]Eti kaka yangu humjui[emoji16]
Sijui.
Kwani mada ilikuwa Nini?[emoji1787]
Nashangaa mmenitag
Ila zurri ametuvumilia Sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].Khaa ninyi si ndiyo mmeniamsha mie nilikuwa nimelala zangu naota nashangaa nimeitwa huku
Limefanyaje eti..Dada hilo shepu [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Hata Mimi simjui.
Wewe Karma unamjua!?.
Mimi nashangaa tu zurri..hivi Ni jina la mtu eeh?[emoji1787]
Hapana dada.Mpendwa hebu ifute hii comment tafadhali [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Yaani[emoji7][emoji7][emoji7][emoji8][emoji8][emoji8][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Limefanyaje eti..
Nitaachwa mwenzio ibilisi kanipitia sikutaka kuweka[emoji16][emoji16][emoji16]
Mimi nilijua tamthiliya sijui..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mie nikajua jina la mzizi
[emoji23][emoji23]Yaani[emoji7][emoji7][emoji7][emoji8][emoji8][emoji8][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Hatari fayaaa
Aisee kumbe una kaubishi sikujua mwanzo nisingeweka😁😁😁Hapana dada.
Nataka ambao wamepitwa na picha wakabwe shingoni[emoji1787]
Nilijua tu zitakupita maana umekomaa na zurri huko juu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Utaweza baridi la mlimani wewe toto jamaniDada njoo nichukue na mimi jamani
Sasa nakufundisha namna ya kupitia.Nilitoka ndugu yangu acha tu ningekuwa hapa mbona ningeona maana napitia comment moja baada ya nyingine uwe unanisevia jamani
Ongeza nyingine dada,,nisuuze roho yangu [emoji8][emoji8][emoji8][emoji23][emoji23]
Anne wewe...
Sawa bwana..
Ila zurri ametuvumilia Sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Angekuwa lizarazu hapa angesema tuna vizabina[emoji23][emoji23]