Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
Dada njoo nichukue na mimi jamani
Kungekua na uwezekano ningekuchangia ..Mnichangie tako jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nywele nishanyoa.Kungekua na uwezekano ningekuchangia ..
Ila nawe ungenichangia nywele..
Mpendwa uzi huu inatakiwa uwe online saa 24 pole sana😁😁Not good kabisa sijakuona
Oneni hili shepu jamani[emoji8][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Hata Mimi simjui.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]zurri ndiyo nani nyie??
AyaaaaaaaNywele nishanyoa.
Zilikatika..zile Ni za muda Sana
Shukrani
Do me a favour please hata pm mpendwa😢😢😢Mpendwa uzi huu inatakiwa uwe online saa 24 pole sana😁😁
[emoji8][emoji8][emoji7][emoji7][emoji3590][emoji3590][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Wanajuana kumbe.
Z amesema
Eti kaka yangu humjui😁Hata Mimi simjui.
Wewe Karma unamjua!?.
Mimi nashangaa tu zurri..hivi Ni jina la mtu eeh?[emoji1787]
Nyimbo ya G nako hiyo ' WekaWekaaaaa
Nitaachwa mwenzio ibilisi kanipitia sikutaka kuweka😁😁😁Hawachi mimi sijaona jamani usinifanyie hivyo
Yaani Karma Kama nakuona unavyopitwa na gari stand[emoji23][emoji23][emoji23].
Uko hapahapa ila Nina uhakika picha hizi zimekupita[emoji1787][emoji1787]
Nilijua tu zitakupita maana umekomaa na zurri huko juu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi sijaiona nifanyie mpango
Nyie wawili mnahusika.
Mimi simo
Mpendwa hebu ifute hii comment tafadhali 😁😁😁😁😁[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Masha'allah
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nyimbo ya G nako hiyo ' Weka