Selfika na JF: Snap it. Show it

Kha sikuwezi [emoji23][emoji23]
Binafsi Nina aibu ...
Huyo cocastic siyo binadamu wa kawaida,atakuwa na Pepo au amezoea mkuyenge[emoji28]

Ni ngumu mwanamke unamtongoza alafu akuangalie usoni..ngumu Sana maana kiasili mna aibu.Sasa yeye si Tu anakuangalia usoni,yeye ameenda mbali zaidi anaangalia suruali anathaminisha mjegeja[emoji28][emoji28]..wa kawaida huyo?
 
Hahaha balaaa [emoji28]
Coca ni wa pekee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…