AiseeAjabu na kweli wanawake 8 kati yao 6 wakienda hospital ni U T I mbaya zaidi siku hizi nkipigiwa na rafiki wa kike uju e ni PID
Asante mamaPole dear
Get well soon
MalariaPole na yutiai
Get well soon mamy!!Am sick en tired of being sick en tiredView attachment 2274729
Me Hii ni ya malaria.... Wengine wanawekewa kupitishia dawa ya u. T. IGet well ASAP..
Samahani.. hayo yanakuwaga matibabu ya nini? Naonaga tu sana watu wana vibomba hivyo
Ni mjadala mrefu visababishi ni vingi mojawapo ni irrational use of antibiotics pia na uuzwaji holela wa dawa so far ndo mana TMDA imepewa nguvu pia wameondoa maduka ya dawa baridi na pia kubana leseni za biashara ya pharmacyAisee
Kwanini sasa?
Me mpaka hapa nilipofika sijui vidonge vya UTI vinafananaje… ni kwamba nakunywa sana maji ama
AmenGet better soon
Polee wee malaria kali hioMe Hii ni ya malaria.... Wengine wanawekewa kupitishia dawa ya u. T. I
AmenGet better soon
AsantePolee wee malaria kali hio
Asante loveGet well soon mamy!!
Ni mjadala mrefu visababishi ni vingi mojawapo ni irrational use of antibiotics pia na uuzwaji holela wa dawa so far ndo mana TMDA imepewa nguvu pia wameondoa maduka ya dawa baridi na pia kubana leseni za biashara ya pharmacy
Sababu nyingine ni za wanawake wenyew wanafanya mambo mengi mengi uko chini na pengine japo si hoja sana ni kuhama kutoka pit latrine kwenda izi VIP
Mnasimamaga kumbe hehPointi ya hapana si wote wanaweka vistick huko chini lakini wanapata uti .
Vyoo vingine vichafu hapo huwezi kukwepa uti
Ndo maana bora mtu usimame tu kwa choo public
PoleAm sick en tired of being sick en tiredView attachment 2274729
Me Hii ni ya malaria.... Wengine wanawekewa kupitishia dawa ya u. T. I
Wazma bint mwakasegeWazima humuuu
Amen mpendwaWazma bint mwakasege