Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,571
- 235,411
Huyu mwingine ni Madam wa somo gani?Weekending!!
Usijaliβ¦lakini Niko na sura ngumu..Uko na antivirus hapo maana ninauhakika uzi wa selfika utaingia virusUnambie muda na hio picha ulokua nayo ni ipi mkuu
Hapo Mtu na mamdo akeeeee!!!Huyu mwingine ni Madam wa somo gani?
Niko kipenzi..ohoooo hata mimi niliwamiss kichiziβ¦Sante sana kipenzi... umemisika sana Selfika mamaa!!
Basi hapo vyemaNa mimi napenda kushoot , atafaa sana kuwa Model nikitaka ku practice Portraits, Etc. [emoji41]
Sura sio muhmu mkuu muhm pichaUsijaliβ¦lakini Niko na sura ngumu..Uko na antivirus hapo maana ninauhakika uzi wa selfika utaingia virus
Niko kipenzi..ohoooo hata mimi niliwamiss kichiziβ¦
Haya oga upendeze nakuja kuweka pundeSura sio muhmu mkuu muhm picha
Nishaoga nipo hapa nasubiria [emoji144][emoji144]Haya oga upendeze nakuja kuweka punde
Karibu tena na tena selfika mamy nimemiss guu naomba nibariki nilale vizuri mamy!!
ππ Mbona sasa hupokei π€£Ushafika huko sokoni kwenye masweta?π
Em nipigie video call nihakikishe
TayarNishaoga nipo hapa nasubiria [emoji144][emoji144]
Lol kuna watu mmejua kujaaliwa guu jamani uwiiiii ππππβ₯οΈ!
Wee acha usaniiπ€£π€£π€£ππ Mbona sasa hupokei π€£
Nimeona nimeona guu la hapa dadadeqq!!Tayar
Kumbe!Hapo Mtu na mamdo akeeeee!!!
πππLol kuna watu mmejua kujaaliwa guu jamani uwiiiii ππππβ₯οΈ!
Santo sana sasa naweza sinzia vizuri!!
[emoji3531][emoji3531][emoji8][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji7][emoji7][emoji7]
Usisahau kushusha neti