bali wao wamngojeao Bwana watapata nguvu mpya; watapanda juu kwa mbawa kama tai; watapiga mbio, wala hawatachoka; watakwenda kwa miguu, wala hawatazimiaLini atawafuta machozi? Mbna machozi enyewe yatakaukia mashavuni na huko kufutwa hakupo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wacha wee, hapo sasa wakija km n ke full mashauzi.Tumepata wawili... Gs na Bios!
Waleteeeeeeeeeeeeee!!
Umeanza mambo yako, yaan unaponitibuaga hapo tyuuh. Wee bila kuweka vifungu vya biblia huridhiki? Sio kila jambo la kidini.bali wao wamngojeao Bwana watapata nguvu mpya; watapanda juu kwa mbawa kama tai; watapiga mbio, wala hawatachoka; watakwenda kwa miguu, wala hawatazimia
Tena wakike tupo wachache kweli yani.. wakaribie sanaWacha wee, hapo sasa wakija km n ke full mashauzi.
Na kama walivyokataa kuwa na Mungu katika fahamu zao, Mungu aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa, wayafanye yasiyowapasa.Umeanza mambo yako, yaan unaponitibuaga hapo tyuuh. Wee bila kuweka vifungu vya biblia huridhiki? Sio kila jambo la kidini.
Yaan na ajira useme eti maneno ya biblia yanapanga? Sasa nikupe taarifa kuna dada ni mlokole pure, yaan kindaki ndaki, huyu mwaka wa 6 ajira anaiona kwa PDF, why huyo anaemsujudia asimpe? Kwan huwa haombi?
Nwei mie sitaki hotuba zako za biblia hapa. Khaaah.
Relaaaaaaaaax!!!!Na kama walivyokataa kuwa na Mungu katika fahamu zao, Mungu aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa, wayafanye yasiyowapasa.
Waje muanze kugombania walimu wa kiume hapo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tena wakike tupo wachache kweli yani.. wakaribie sana
Rum 2:4Relaaaaaaaaax!!!!
Ndio natoka saivi, muda ule ilikua short breakSafi mkuu,ndy umetoka Kwa mwamposa nini?
Naanzaje mie uwiiii!! Haitokuja kutokeaWaje muanze kugombania walimu wa kiume hapo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£[emoji16] View attachment 2272870
πππππ Jesus
π€£π€£π€£πππππ Jesus
Ameketi mkono wa kuume wa Mungu Baba Mwenyezi,
@Ndinda kazi kwako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo kwa status atakutana na memes na vipande vya hits song tyuuh.
Mbingu utaisikia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16] View attachment 2272870