Selfika na JF: Snap it. Show it

acha kabisaa
bibi aliwahi muambia hivyo cuzoo angu, kuwa "wee fulani yaan unafanya umalaya hadi nywele za kisogoni hazioti unalalishwa kuchoti choti" nikikumbuka huwq nachekaa mnooo.
 
Habari kuu.

Tamisemi yatoa ajira za afya na ualimu. Walioomba ni 150k, waliopata ni 9.8k.

Watu wameliwa vichwa huko hadi hurumaaa,

Kuna huyo dada yeye leo ni kilio tyuuh, mbavu zangu mie.

Watu wanateseka na ajira, heri yangu mie naeambiwa sifanani na kuajiriwa au sifai kutumikia taaluma yangu, nshajipanga kisaikolojia nikimaliza nafanya mambo yangu mengine, wao sasa vilio tyuuh huko sahivi.

DJ waleteeeeeeeeeeeeeh,
 
Mungu atawafuta machozi.
 
Tumepata wawili... Gs na Bios!
Waleteeeeeeeeeeeeee!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…