πππ wewe tenaaKtk familia yetu ni huyo brooh, yaan ni mkimya, mpole, mtaratibu akiwa anaongea yaan kheee,
Shida ipo kwangu, kwa dogo, na dada angu m1 huyo, kheeeh ni hatareeee, vurugu mwanzo mwenga, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hamna dearWee unaingia mzigoni, now?
Kumbe ni DR? Wooow
Umeamka Mr .vochaHatulaliiii
Nipo rafiki yangu hakuna kulalaUmeamka Mr .vocha
Huyo ni
Dad's Daughter Haswaa
Ila mpole mwenyewe
Msabato na ni mzuri kinyama
Eeh hongeraNipo rafiki yangu hakuna kulala
Umeamkaje leo best?
Niko poa bestEeh hongera
Baridi hii inahamasisha kulala
Nipo poa vipi wewe ?
Ya huku kwetu [emoji23][emoji23][emoji23]Niko poa best
Hiyo baridi inayohamasisha kulala ni ya mkoa gani ndugu?
Selfika rafiki yangu sasa hivi bado wamesinzia wakiamka wanaambulia manyoya[emoji12]
Wewe kwenu Dar.... usinidanganyeπ€£π€£π€£π€£Ya huku Njombe [emoji23][emoji23][emoji23]
Kiubaridi fulani
Nilimiss hizo lipsπ
Hahaha nasubiria baridi ipungue niende NjombeWewe kwenu Dar.... usinidanganye[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Alaf ya Njombe ile haihamasishi kabisaaaa inatesa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Asante pia rafiki [emoji1545]Nilimiss hizo lips[emoji108]
Ahsante sana rafiki yangu [emoji7][emoji7]
Selfika idumu
Huko Dar hakujawahi kuwa na baridiHahaha nasubiria baridi ipungue niende Njombe
Ya huko balaa , siwezi [emoji23][emoji23]
Huku kiubaridi kizuri ...
Nidai zawadi yako nikitoka kanisaniAsante pia rafiki [emoji1545]
Huko Dar hakujawahi kuwa na baridi
Labda unambie joto limepungua kipindi hiki ka usingizi kanakuja [emoji16][emoji16]
Huku Njombe usije tu mdogo wangu utateseka
Asante sanaNidai zawadi yako nikitoka kanisani
Ukija usisahau kufika hadi huku Ludewa utusalimie mdogo wangu, niko hapa kijiji cha Shaurimoyo napambania maishaYeah hali ya hewa nzuri sana
Kwa mtu uliyekaa huku muda mrefu , tunaona afadhali sasa twajifunika viblanket .
Ah nitasubiri kwanza mida ya joto
Asante nitakuwa MakambakoUkija usisahau kufika hadi huku Ludewa utusalimie mdogo wangu, niko hapa kijiji cha Shaurimoyo napambania maisha
Makambako hadi Shaurimoyo ni safari ya siku nzima mdogo wanguAsante nitakuwa Makambako
Sio mbali na hapo eeh ?
Nikahisi upo A town