Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,838
Bibi yuko Misungwi huko mjukuu; na anazingua hatari shwaini zake. Hapa nilipo kanibuloku kila mahali hata kosa langu siriazi silijui....[emoji51][emoji51][emoji51]Wee bibi yuko wapi? Au ndo 50/50 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wazungu bhanaa, khaaaah
Nakuangalia tuUtakuwa umepata followers wengi sana Insta
Kuwa makini: hii ni mara ya 3/4 unapost username yakoUwiiii sikuangalia kabla ya kupost
Nimefuta faster
Asante aisee
Siyo kwamba aliyetaka kwenda PM ameshaenda [emoji16][emoji16][emoji16]Hujui kuzungumza na wakubwa
Nenda pm huko
Umwelekeze vizuri
Khaa
Yaaa na alimaliza muda sanaHata nyuma nitakudabua tu...
Prophet alimaliza kazi aliyotumwa kuifanya. Apumzike salama na siku moja mtaonana na kuendeleza ibada mbinguni
Niliomba kujoin lakini mpaka leo nasubiri.Uwiiii sikuangalia kabla ya kupost
Nimefuta faster
Asante aisee
Kwanza ngoja bibi ni wa kwetu au wa huko? Sorry lakini.Bibi yuko Misungwi huko mjukuu; na anazingua hatari shwaini zake. Hapa nilipo kanibuloku kila mahali hata kosa langu siriazi silijui....[emoji51][emoji51][emoji51]
Ila hata akiwepo mi napikaga tu nikijisikia....
Na wazungu hawana 50/50. Ni maelewano tu na dynamics za ndani ya nyumba.
Ni ya insta eeeh? Nimeona.Kuwa makini: hii ni mara ya 3/4 unapost username yako
Ni nzuri sana ukiinywa kwenye empty stomach asubuhi...Supu ya cabbage? Unataka kutapika? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🙊🙊kumbe na ww ?!!!!Niliomba kujoin lakini mpaka leo nasubiri.
This account is private...
Siyo poa [emoji16][emoji16][emoji16]
Wacha wee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni nzuri sana ukiinywa kwenye empty stomach asubuhi...
Inasafisha figo na ini....
😂😂mmh hapanaNiko poa mrembo
Umemisika sanaaaa
Usisahau kuselfika bila emoj😜
Mida ya wanga hii
Mimi huyuNamjibia hapa ili na wewe upate recipes
Hahaha hata kwetu ni kipaji aisee. Na peeler ni shwaaaKwa wanaume ni kheri ununue vile vimashine vya kukwangulia, kukata vidogo vidogo ni kipaji😁😁
Shangazi muda ndo huu.[emoji23][emoji23][emoji23] looh
Yaaa hiz pics za Ku screenshot ni tatizoKuwa makini: hii ni mara ya 3/4 unapost username yako
Wa kwetu ndiyo...Kwanza ngoja bibi ni wa kwetu au wa huko? Sorry lakini.
Mida hii ukiweka emoj unapata dhambi🤣🤣😂😂mmh hapana
Emoj muhim