Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
Para ya piliHapo sawa...
Azawaisi ai wudinti bilivi iti!
Haya...Ikate ndogo ndogo kwanza, ukimaliza uniambie.
Nimefanyaje?Janja sana
Wewe
Wee bibi yuko wapi? Au ndo 50/50 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaweza kunielekeza jinsi ya kupika kabeji ikatokelezea kama nyama? [emoji16]
Friji iko empty na sitoki sababu kuna mvua. Nina kabeji kama sita hapa ndani. Nifanyeje sasa jamani?
BadooooooKwa hiyo unatuhakikishia jimbo halijaenda kwa nshomile? [emoji15][emoji15][emoji15]
[emoji23][emoji23][emoji23] loohAnayejua kupika kabeji ikawa kama unakula nyama arushe recipe hapa pulizi [emoji16][emoji1545]
View attachment 2272269
Pengine kasoma intanesheno skuli tangu chekechekea...Para ya pili
Ndio lugha yake pendwa
Wee bibi yuko wapi? Au ndo 50/50 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wazungu bhanaa, khaaaah
Brother 😁😁😁Anayejua kupika kabeji ikawa kama unakula nyama arushe recipe hapa pulizi [emoji16][emoji1545]
View attachment 2272269
Utakuwa umepata followers wengi sana InstaNimeamua nikae zangu nyuma maana mbele camera man anachonifanyia sio fair
I miss my prophet🙏
Hujui kuzungumza na wakubwaIkate ndogo ndogo kwanza, ukimaliza uniambie.
Supu ya cabbage? Unataka kutapika? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Basi tusichekane...
Nataka nifanye hivi:
Nusu nakaanga...nitalia na kiugali.
Nusu nachemsha supu...
Hata nyuma nitakudabua tu...Nimeamua nikae zangu nyuma maana mbele camera man anachonifanyia sio fair
I miss my prophet[emoji120]
Au bhasNimefanyaje?
Namjibia hapa ili na wewe upate recipesHujui kuzungumza na wakubwa
Nenda pm huko
Umwelekeze vizuri
Khaa
Uwiiii sikuangalia kabla ya kupostUtakuwa umepata followers wengi sana Insta
Miss u 2. [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Coca miss u
Ikate ndogo ndogo kwanza, ukimaliza uniambie.