Nshomile wako poa sana na ukimkuta mwanamke wa kinshomile katulia kweli anatulia. Shida ni haya majigambo na show off za kaka zenu waliosoma Harvard na wanaendesha ma-Rolls-Royce. Wataweza kweli kumheshimu kama shemeji yao hasa ikitokea akawa hana hela za kutosha?