Selfika na JF: Snap it. Show it

Nimecheka [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nimekumbuka mama mmoja mmasai alinambiaga Dar ndio mnakata mboga vibaya hivyo [emoji23][emoji23]
Hapo nimekata bila cutting board…
[emoji23][emoji23][emoji23] wee huyu kazidi kakata ndogo ndogo mnoo. Kuna siku home tumekaa bhana mapishi akapewa dogo, cabbage alikata hadi brooh anaulizaa ya kulisha nguruwe? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yaan yanajiacha tyuuh, anakata tyuuh vuu vuu vuuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…