Selfika na JF: Snap it. Show it

huko nisingeweza, heka heka za usumbufu wa maji nehiiii. Siweziiiiih.
Kwan ningeshindwaa, mie huyu wa kutumia maji sanaaa. Lol
Huwezi?
Utaweza tu
..

Mm nimejifunzia pale kuchota maji kisimani...tena kisima kirefu maji yapo chini kabisa.


Hujabeba kupeleka room
usiombe sasa uwe unakaa gorofani juu


Walinipanga juu nikaandamana..nilikomaa hadi nikapata chumba cha chini.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Unaweza kujikuta unaota vigimbi miguuni kwa kupanda ngazi
 
mie kuvuta naweza, kutoka nayo mbali sio tatizo,
Ila huyu usumbufu wa maji, aaah hapana wee.
Ningekomaa mnooo. Duuuh sasa wanafunzi wanavumilia tyuuh.
 
Sijaona umuhimu wa hiyo feature, haiongezi kitu kwa mtumiaji zaidi inaweza kumtoa kwenye focus. Hizi feature mala nyingi huwa naziona kwenye framework na zinapenda kwa site flani ila sio kwa Jf
Waweke sehemu ya maoni ili tu rate then irudishe feedback, companies kubwa kama youtube wanafanya hivyo, sasa wamekurupuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…