Selfika na JF: Snap it. Show it

Muagize tena..
Nimekuwa na meno kama watu wa kaskazini πŸ₯Ί..
 
Muagize tena..
Nimekuwa na meno kama watu wa kaskazini
..
Ndo nimemuambia yeye anakuja August Mwanzoni, sasa wakati nasubir ndo nahangaika kutafuta kwan madukani angalau nijisogeze muda,

Kwa sasa natumia Vigor Doctor OG, sitaki dawa za meno uchwara mie, akaaaah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…