Nations
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 4,892
- 16,997
Ushuuunguuu hadi tumboni.. alafu anakupigia simu kukuuliza kama umeipataaa.. una mjibu asante nimeipata huku rohoni una sonyaaa 🤣🤣🤣🤣🤣Weeee ushunguu hatari mjomba!
Ushuuunguuu hadi tumboni.. alafu anakupigia simu kukuuliza kama umeipataaa.. una mjibu asante nimeipata huku rohoni una sonyaaa 🤣🤣🤣🤣🤣Weeee ushunguu hatari mjomba!
Hahahahaha!!Ushuuunguuu hadi tumboni.. alafu anakupigia simu kukuuliza kama umeipataaa.. una mjibu asante nimeipata huku rohoni una sonyaaa 🤣🤣🤣🤣🤣
Shouzzzzzz nasubir mie, kamlio huku.Hahahahaha!!
Shos inauma hatari acha tu! wakati unakopa meno yote nje kwenye kulipa sasa uwiiiii!!🙆🙆🙆
Safi kumbe najua leo nitakula bureeeNjoo utatukuta😁
Shos inauma hatari acha tu! wakati unakopa meno yote nje kwenye kulipa sasa uwiiiii!!![]()





noumaaaaah!!!Unapiga na yowe kabisaHuwa inauma sana, umemuambia mtu atume hela, ukasahahu kumuambia labda atume bank au mtandano mwingine, unakuta kairusha ulipo na deni huwa kuna ka uchungu flanii hiviunashukuru kiunyongee

Hapa uje na helaMie nakuja na buku ten tuu...kama nyama choma sii utaninunulie mrembo au wasemaje
We hunaga mambo mengi nakufahamu.Whatsapp huwa situmii.
Aunt mzimaShouzzzzzz nasubir mie, kamlio huku.

Shouzzzzzz nasubir mie, kamlio huku.
Aunt mzima
Hiv kale kamlio jf humu ka Nini mm sijaelewa maana nilitka kutupa simu![]()





noumaaaah.Kweli yaan mwenzio mda ote nasikilizia mlio wa dhahabu.sawa shos!!







Sawa shos akee!!Kweli yaan mwenzio mda ote nasikilizia mlio wa dhahabu.
![]()
Kha! Aya bwana utahudumiwa ila unue vya mwanaume haviliwi bure🤣🤣🤣🤣Hapa uje na hela
Mi mtt wa kike nahudumiwa,sihudumii😂😂😂
Una mpango gani na deni?We hunaga mambo mengi nakufahamu.