Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ni hivi: mwaka jana nilifungua ki auxiliary account cha Crypto. Kimsingi nilimfungulia mtu fulani wa muhimu sana kwangu. Na lengo langu ilikuwa ni kumpa zawadi ya kiakaunti hiki siku chache kabla ya Krismasi ya mwaka huu ambapo pia ndo huwa birthday yake. Mi huwa siyo mhongaji mzuri wa rejareja na MO yangu mtu nikimwelewa huwa napenda nimfanyie kitu cha kudumu kitakachomsaidia katika maisha yake...No regrets!

Mpaka December hii kiakaunti hiki aisee kilikuwa kinafanya vyema mpaka kilikaribia $10K at some point....and from nowhere Crypto just nosedived....

Najua una trade Forex. Pengine hata kwenye Crypto umo. Nataka niabsorb losses nichukue kilicho changu tumalizane nikabidhi kilichopatikana (losses) kwa mwenyewe kabla ya muda au nitulie tu pengine market ita-bounce kufikia hiyo December.

Kama mzoefu; what is your advice? Bitcoin imekwenda mpaka below $20K na watu wamekula hasara hatari hasa ukizingatia kuwa majuzi tu hapa iligonga $65K

Ushauri wako pulizi
View attachment 2268965
Pole kwa lose ambayo umeipata mkuu wangu. Wataalamu wana sema;

"If you remember the "Never invest money that you can't afford to lose" rule and never violate it, you shouldn't have to worry about running out of funds during retirement. "

Kama ulifanya uwekezaji wa mda mrefu, nakushauri uiache hiyo pesa. Huna haja ya kuitoa
 
Naam!

Forex.

Crypto...

Stocks....

Weka huko kile ambacho hukihitaji leo na au kesho.

Naizingatia sana kanuni hiyo.

Asante Baba Mchungaji. Was thinking the same. Stay blessed
 
IMG_20220622_172401.jpg
 
Back
Top Bottom