Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mad Max
mzabzab nawasubiri
IMG_20220622_153935.jpg
 
Inawezekana Mkuu wangu.
Ni hivi: mwaka jana nilifungua ki auxiliary account cha Crypto. Kimsingi nilimfungulia mtu fulani wa muhimu sana kwangu. Na lengo langu ilikuwa ni kumpa zawadi ya kiakaunti hiki siku chache kabla ya Krismasi ya mwaka huu ambapo pia ndo huwa birthday yake. Mi huwa siyo mhongaji mzuri wa rejareja na MO yangu mtu nikimwelewa huwa napenda nimfanyie kitu cha kudumu kitakachomsaidia katika maisha yake...No regrets!

Mpaka December mwaka jana kiakaunti hiki aisee kilikuwa kinafanya vyema mpaka kilikaribia $10K at some point....and from nowhere Crypto just nosedived....

Najua una trade Forex. Pengine hata kwenye Crypto umo. Nataka niabsorb losses nichukue kilicho changu tumalizane nikabidhi kilichopatikana (losses) kwa mwenyewe kabla ya muda au nitulie tu pengine market ita-bounce kufikia hiyo December 2022.

Kama mzoefu; what is your advice? Bitcoin imekwenda mpaka below $20K na watu wamekula hasara hatari hasa ukizingatia kuwa majuzi tu hapa iligonga $65K

Ushauri wako pulizi Baba Mchungaji
 
Back
Top Bottom