Yan unataka kusema ‘nakukuta na bwana angu wakati bado sijaachika? Ndio nipanick tuchambane??
If so, that’s too low shost, I’ll deal with my man and not you… wewe ulitongozwa ukakubali, na hata kma ulim seduce bado makosa yanalala kwake why akubali??