Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,571
- 235,411
Wese huwa nalikandika kisawasawa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naona uendelee tafadhali na hiki kipupwe futa la nazi liwe la kutosha.
nimepona Mama angu[emoji1545]
Bila kuselfika hatukupokei tena mwana mpotevu.Wakuu wote wa uzi huu nawasalimu, Tuendelee kuchat na picha π
Ewaaaaaa, uendelee kuimarika. tumekumiss sana #teamheels# π₯°π₯°Safi sana Nkamu
yes now nimepona kabisa
Mtamponza tena mwenzenuEwaaaaaa, uendelee kuimarika. tumekumiss sana #teamheels# [emoji3059][emoji3059]
Huyo ni member mwaminifu mnooo, bila ushawishi wowote: atarudi tu mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23]Mtamponza tena mwenzenu
Lecture mwenzangu tuonane badae ππHapa ndiyo nilijitahidi kidogo kuvaa kafupi[emoji3059][emoji3059]View attachment 2268607
asanteeeeehhhhhhhh πππ umetokelezea hatareeee π₯π₯π₯π₯Hapa ndiyo nilijitahidi kidogo kuvaa vifupi[emoji3059][emoji3059]View attachment 2268607
Tupo busy sana, semester inaelekea ukingoniππππππLecture mwenzangu tuonane badae ππ
π₯°π₯°π₯°asanteeeeehhhhhhhh πππ umetokelezea hatareeee π₯π₯π₯π₯
Kabisa mama Fanya mchungaji kunipasia asee nahisi size tunafanana!π₯°π₯°π₯°
Hicho kiatu angalau na wewe unaweza kukivaa na ukatembea comfortably
ππ usinitishe basiππππππππ utatoa maelezo baada ya mahojiano
Hiyo ni 41. Afu mbele huko Mimi kimguu changu chembamba, wewe na guu lako la bia hadi mbele, utaingia kweli? π€π€π€Fanya kunipasia asee nahisi size tunafanana!
π₯π₯π₯π₯π₯Hapa ndiyo nilijitahidi kidogo kuvaa vifupi[emoji3059][emoji3059]View attachment 2268607
Fanya utimize deni lako kwa Anne.π₯π₯π₯π₯π₯
Kwa kweli umependeza sana
πππππ
Wacha weeπHapa ndiyo nilijitahidi kidogo kuvaa vifupi[emoji3059][emoji3059]View attachment 2268607
Sijui jeuri ya kuzunguka anaitoa wapi wakati namdai.Fanya utimize deni lako kwa Anne.
Mbona hujanichamba rangi nyinginyingi?ππππWacha weeπ
Hapo umemshika mkono mnashuka kwenye ngazi mdogo mdogo eeh πππ₯π₯π₯π₯π₯
Kwa kweli umependeza sana
πππππ
Sijui jeuri ya kuzunguka anaitoa wapi wakati namdaiFanya utimize deni lako kwa Anne.
Ili atengue tena mguu?Huyo ni member mwaminifu mnooo, bila ushawishi wowote: atarudi tu mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23]
πππππππ usinitishe basi