Selfika na JF: Snap it. Show it

Dada,

Nakupenda.

Leo nimemuandikia mdogo wako uzi matata kabisa kumu wish happy birthday.

Mara ghafla, mods wakaufutilia mbali.

Hii imekaaje mkuu?

Kiukweli moyo wangu ni mzito sana, hiki kitu wamefanya mods kimenitia ufa moyoni, kimeupasua katikati.

Au pengine huyo dogo anatoka na mmoja wa moderators? 😡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…