Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,016 Reaction score 177,325 Jun 20, 2022 #222,881 Glenn said: Yule raia wangu yuko wapi mwanangu? Click to expand... Strawbella auntie uko Wapi kwani ?? Unaitwa hukuuuu!!π
Glenn said: Yule raia wangu yuko wapi mwanangu? Click to expand... Strawbella auntie uko Wapi kwani ?? Unaitwa hukuuuu!!π
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,272 Jun 20, 2022 #222,882 Antonnia said: Strawbella auntie uko Wapi kwani ?? Unaitwa hukuuuu!!π Click to expand... Naam yuko so composed sana...ninamkubali sanaaπ π π
Antonnia said: Strawbella auntie uko Wapi kwani ?? Unaitwa hukuuuu!!π Click to expand... Naam yuko so composed sana...ninamkubali sanaaπ π π
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,524 Reaction score 203,271 Jun 20, 2022 #222,883 Lenie said: π€£π€£π€£ dogo anazingua Ndio, inaitwa Kina nzuriii. Hapa nakimbia niiwahi Click to expand... πΉπΉπΉ Nitaweza kweli kuifatilia? Huyu dogo ndio kashika remote β¦ Unarudi late ww jamani π
Lenie said: π€£π€£π€£ dogo anazingua Ndio, inaitwa Kina nzuriii. Hapa nakimbia niiwahi Click to expand... πΉπΉπΉ Nitaweza kweli kuifatilia? Huyu dogo ndio kashika remote β¦ Unarudi late ww jamani π
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,016 Reaction score 177,325 Jun 20, 2022 #222,884 Rumaiya said: ππππ Sinzia Mama sina jipya hataa.. Click to expand... Aliekuroga Rumaiya aliekurogaaaaπππππ€π€π€!!!!
Rumaiya said: ππππ Sinzia Mama sina jipya hataa.. Click to expand... Aliekuroga Rumaiya aliekurogaaaaπππππ€π€π€!!!!
Beeb JF-Expert Member Joined Aug 18, 2018 Posts 29,393 Reaction score 59,137 Jun 20, 2022 #222,885 Antonnia said: Aliekuroga Rumaiya aliekurogaaaaπππππ€π€π€!!!! Click to expand... ππππ... Amesinzia..nasubiri aamke
Antonnia said: Aliekuroga Rumaiya aliekurogaaaaπππππ€π€π€!!!! Click to expand... ππππ... Amesinzia..nasubiri aamke
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,016 Reaction score 177,325 Jun 20, 2022 #222,886 Glenn said: Naam yuko so composed sana...ninamkubali sanaaπ π π Click to expand... Hanaga mambo mengi kabisa shangazi yuko gudo mnooo!
Glenn said: Naam yuko so composed sana...ninamkubali sanaaπ π π Click to expand... Hanaga mambo mengi kabisa shangazi yuko gudo mnooo!
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,524 Reaction score 203,271 Jun 20, 2022 #222,887 Heaven Sent said: Eeh wa kishua. Dogo aligoma kabisa kwenda Kigoma? Click to expand... Ushua gani mamlai π€£ Alikataa, anakwambia yan mm ninyoe kipara? Na ili bichwa?
Heaven Sent said: Eeh wa kishua. Dogo aligoma kabisa kwenda Kigoma? Click to expand... Ushua gani mamlai π€£ Alikataa, anakwambia yan mm ninyoe kipara? Na ili bichwa?
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,272 Jun 20, 2022 #222,888 Chibonge Rumaiya natambua uwepo wako mama
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,524 Reaction score 203,271 Jun 20, 2022 #222,889 Heaven Sent said: Mary Mwakazi; a typical African mother. Huwa ananifurahisha sana Click to expand... Hawa wanao ogelea ni kina nani sasa ππ
Heaven Sent said: Mary Mwakazi; a typical African mother. Huwa ananifurahisha sana Click to expand... Hawa wanao ogelea ni kina nani sasa ππ
Wigelekelo JF-Expert Member Joined Sep 2, 2018 Posts 8,765 Reaction score 26,901 Jun 20, 2022 #222,890 Depal said: Me napika hadi ngalarumu na githeri najua⦠na ugali la kisukuma gumuu, likikukaa kooni waweza kufwa Click to expand... Hilo ndio lenyewe Unasukumizia na Mlenda Mashishanga Maziwa unamalizia na Mgagani
Depal said: Me napika hadi ngalarumu na githeri najua⦠na ugali la kisukuma gumuu, likikukaa kooni waweza kufwa Click to expand... Hilo ndio lenyewe Unasukumizia na Mlenda Mashishanga Maziwa unamalizia na Mgagani
Heaven Sent JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 32,717 Reaction score 98,376 Jun 20, 2022 #222,891 Depal said: Ushua gani mamlai π€£ Alikataa, anakwambia yan mm ninyoe kipara? Na ili bichwa? Click to expand... Si unaangalia mambo ya wazungu, badala ya kuangalia filamu zetu za kutafsiriwa na kina DJ Mafufu?π€£π€£
Depal said: Ushua gani mamlai π€£ Alikataa, anakwambia yan mm ninyoe kipara? Na ili bichwa? Click to expand... Si unaangalia mambo ya wazungu, badala ya kuangalia filamu zetu za kutafsiriwa na kina DJ Mafufu?π€£π€£
Lenie JF-Expert Member Joined Aug 3, 2012 Posts 17,221 Reaction score 50,171 Jun 20, 2022 #222,892 Heaven Sent said: Mary Mwakazi; a typical African mother. Huwa ananifurahisha sana Click to expand... Nampenda yule mama, wamempatia sana af kafanana sana na watoto wake wakike utasema ni wanae kweli.
Heaven Sent said: Mary Mwakazi; a typical African mother. Huwa ananifurahisha sana Click to expand... Nampenda yule mama, wamempatia sana af kafanana sana na watoto wake wakike utasema ni wanae kweli.
Beeb JF-Expert Member Joined Aug 18, 2018 Posts 29,393 Reaction score 59,137 Jun 20, 2022 #222,893 Glenn said: Chibonge Rumaiya natambua uwepo wako mama Click to expand... Kaka mtumishi
Heaven Sent JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 32,717 Reaction score 98,376 Jun 20, 2022 #222,894 Depal said: Hawa wanao ogelea ni kina nani sasa ππ Click to expand... Zuri na Ianπ€£π€£
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,016 Reaction score 177,325 Jun 20, 2022 #222,895 Glenn said: Chibonge Rumaiya natambua uwepo wako mama Click to expand... Mie sijamuona kabisa hasira anibariki nataka nikambonji soon mwanangu!!
Glenn said: Chibonge Rumaiya natambua uwepo wako mama Click to expand... Mie sijamuona kabisa hasira anibariki nataka nikambonji soon mwanangu!!
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,524 Reaction score 203,271 Jun 20, 2022 #222,896 Heaven Sent said: Si unaangalia mambo ya wazungu, badala ya kuangalia filamu zetu za kutafsiriwa na kina DJ Mafufu?π€£π€£ Click to expand... π€£π€£π€£ me naangalia vyote Ila Mafufu marufuku π€£π€£
Heaven Sent said: Si unaangalia mambo ya wazungu, badala ya kuangalia filamu zetu za kutafsiriwa na kina DJ Mafufu?π€£π€£ Click to expand... π€£π€£π€£ me naangalia vyote Ila Mafufu marufuku π€£π€£
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,272 Jun 20, 2022 #222,897 Antonnia said: Hanaga mambo mengi kabisa shangazi yuko gudo mnooo! Click to expand... Umeona eee @strawbella
Antonnia said: Hanaga mambo mengi kabisa shangazi yuko gudo mnooo! Click to expand... Umeona eee @strawbella
Heaven Sent JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 32,717 Reaction score 98,376 Jun 20, 2022 #222,898 Lenie said: Nampenda yule mama, wamempatia sana af kafanana sana na watoto wake wakike utasema ni wanae kweli. Click to expand... Yeah ukiangalia facial structures za Hope na Bella utasema ni wanae kweli; japo Bella ni adopted daughter. Au sura ya Zuri na Bella pia. Yaani ana makelele ya kimama kabisa
Lenie said: Nampenda yule mama, wamempatia sana af kafanana sana na watoto wake wakike utasema ni wanae kweli. Click to expand... Yeah ukiangalia facial structures za Hope na Bella utasema ni wanae kweli; japo Bella ni adopted daughter. Au sura ya Zuri na Bella pia. Yaani ana makelele ya kimama kabisa
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,272 Jun 20, 2022 #222,899 Rumaiya said: Kaka mtumishi Click to expand... Sema hitaji lako tuliinue kwa Bwana, mwanangu
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,016 Reaction score 177,325 Jun 20, 2022 #222,900 Glenn said: Umeona eee @strawbella Click to expand... Ndiooooooo ndiiiooo Anko!!