[emoji1787][emoji1787] asantee Mr VochaMxieeew
Mweeh sijarudi bado, marudio yatanihusu.
Ujambo binti
πππ sawa sawa mama JuniaMweeh sijarudi bado, marudio yatanihusu.
Sijambo, niajee?Ujambo binti
Wasalimie Mai guru na Shups na mifugo na ndiziπππ sawa sawa mama Junia
NiajeSijambo, niajee?
Eti humfahamu?!Mkuu ujapona bado? Utubariki tukuone tusiokufaham
Utakutana nao baadae πΉπΉWasalimie Mai guru na Shups na mifugo na ndizi
Kulikoni mkuu π πNiaje
kheee baadae aisee[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
HopeMungu anasaidia,,, Hali inaimarika Kwa kiasi chake.. usiwazee nitawabarikiii[emoji4]
Umeshafika ukokua unaenda mkurugenzi???Salam za jioni...
Jirani hujamboSijambo, niajee?
Sijambo, mambo ni gani?Jirani hujambo
Mimi wa kawaida tu...visafari vya hapahapa jirani.Umeshafika ukokua unaenda mkurugenzi???
Shwari kabisa..Sijambo, mambo ni gani?
Weeeehhh kwalile selfie wee ni ππππ!!! Sio wa kawaida aseee!! Hongera sana jirani!Mimi wa kawaida tu...visafari vya hapahapa jirani.