Sio najiweka kilani. Nikiplay strong naambiwa siku hzi nimekua na tabia mbaya. Sio mpole tena. Nikiwa hvi nafikiriwa vbaya. So nitaishi vile navyoona ni sawa as long as najitambua
Amen[emoji23][emoji23]haswaa
Unaogopa kumtaja kwanini[emoji13]Subiri atakuja.
Wala usijali[emoji847][emoji847]..
Wewe mwali wetu tulia usijipe shida[emoji8]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kuwa na familia siyo shida,, najua wewe ni mfuatiliaji wa baadhi ya american rappers kutokana na avatars zako,, lil wayne alipata mtoto wake wa kwanza akiwa ana miaka 16 kwahiyo ikawa mtoto kapata mtoto,, sasa yawezekana na wewe ni dingi mtoto..
Anajijua na hata Sasa anafwatilia hapa.Unaogopa kumtaja kwanini[emoji13]
Nitakuja[emoji13][emoji13][emoji13]japo dar wahuni wengi.
Tena mtoto mzuri huyu jamani[emoji7][emoji7][emoji7][emoji847][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndiyo tena huyo ni wa dini yake atamfaa kabisa
Kabisa yaani.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ashindwe yeye tu sasa
Wewe na mboto mtueleze vizuri[emoji1787][emoji1787].
Nimejikuta nammiss mtu fulani.
Umeona eeh?
Umri huu tunaangalia husband material..sura tumewaachia mabinti.
Nawaongeza soon [emoji8]Beautiful [emoji7][emoji7].
Tuongeze nyingine tusafishe macho mammy[emoji8]
Tupe mamy tupe tuoshe macho [emoji7][emoji7][emoji7]Nawaongeza soon [emoji8]
Paka mafuta kwa mgongo wa chupa. Unaeuhusiwa na pm yangu ipo wazii
Kule
Yule[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nani tena huyo??
Word.
Akiwa navyo pamoja hvyo vitu hutamtaka
Tantee.. my Moana
Mgonga like mkwepu jr kaingia[emoji23][emoji23][emoji23]