Kumbe wewe n dk 2 ushacover kila kitu, safi.Mwanzoni walijua nasomea geto baadae nkahamia nyumba tunakaa na classmates wakasema nasomeaga chumban mwsho nikakaaga na mchumba akahisi tukilala naamka nasoma kimya kimya [emoji1787]
Ukifanya kitu unapenda ni rahisi zaidiKumbe wewe n dk 2 ushacover kila kitu, safi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie n binadamu, nna damu, nna moyo wa myama, nnakojoa kwa kuchuchumaa na kusimama ikiwa dharura,Unamuwazia mtu[emoji23][emoji23][emoji23] nshakuvua nyota nawe[emoji23][emoji23],
Unaonekana upo vizuri kichwan hata hivyo hongera. Akina sie lazima nisome haswaa akili zenyewe hizi [emoji23]Ukifanya kitu unapenda ni rahisi zaidi
Ghetto gan? Mmmmh sio kihvyooo.Chuo hakuna asiye soma sema nenda geto kwake uone show,, ni bundi kinyama
Ila sisi haya mambo si yana practical so ni rahisi kujifunzaUnaonekana upo vizuri kichwan hata hivyo hongera. Akina sie lazima nisome haswaa akili zenyewe hizi [emoji23]
SafiIla sisi haya mambo si yana practical so ni rahisi kujifunza
[emoji16] hongera Sana.Mwanzoni walijua nasomea geto baadae nkahamia nyumba tunakaa na classmates wakasema nasomeaga chumban mwsho nikakaaga na mchumba akahisi tukilala naamka nasoma kimya kimya [emoji1787]
Mkuu ujapona bado? Utubariki tukuone tusiokufaham[emoji16] hongera Sana.
Mie wanasemaga tyuuh nna uwezo wa kukariri, afu tangu vidudu hiyo had leo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaonekana upo vizuri kichwan hata hivyo hongera. Akina sie lazima nisome haswaa akili zenyewe hizi [emoji23]
Yeah, hivyo ni sawa. Lkn Ile mnaishi group, halafu utake kuweka msuli nondo. Mmh kila mtu ako na ratiba yake. Wengine watakupigia kelele muda ambao ww uko bize na kisomo.Kuna wengne wanaweza kigheto gheto na yupo mwenyewe anakuambia hivyo ndio anaelewa zaidi kuliko kukaa na group.
Labda bussiness administrationNot always lakini watu hawasomi na First class znakaaa kama kawa
Sawa mkuu tupo apa na business admini zetuLabda bussiness administration
Mie mwenyewe kuonekana chuo ni shughuli kidogo[emoji23][emoji23][emoji23] et eeh kwamba magetoni anakesha, nalo neno lkn.
[emoji1787][emoji1787] kaza msuli, kaza msuli mama. Usitazame Wala kumuogopa mtu.Wee noumaaaah.
Umesahau moja[emoji16][emoji16] coca hawazishwi na mtu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie n binadamu, nna damu, nna moyo wa myama, nnakojoa kwa kuchuchumaa na kusimama ikiwa dharura,
Acha niwaze tyuuh.
Kuna hyo moja ya ardhi tulikuwa tunakaa nayo nyumba moja oi,,, mchana inazurula usiku unaamka saa 8 ile umeshtuka unaikuta nje imevaa track,, soksi na imejifunika yale manguo ya kimasai inapasua mawimbiGhetto gan? Mmmmh sio kihvyooo.