kuna mtu anasemaga Mie na Giggy akili zetu ni 1, yaan hatuna tofauti, huwa namjibu yess nampenda sana giggy yuko real bhanaa, tumenyoooka km rulaaaaaah.
Ni kweli gigy yupo real sana pia ana vituko mnoo zaman nilikuwa simuelewi ila now namuona kawaidaa
Hapo kwenye rula sasa mtu na role model wakeπππ
Nakutafutia ila vocha yako setakeeee!! Kwahio umeona sie twadaganyika na vocha? vocha za mchongo hizo hadi uwe na mishe ndio utuwekee ??? ??ππππ !!