Japo ni ukweli ila haya sio mambo mazuri kujisifia mwanaume....Nilipata shida sana kipindi naishi Zanzibar
Ninong'oneze mmoja[emoji2960][emoji1787][emoji1787]wa kishua,, wasiojua kufungua codes za umbea..
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]amekuzidi hadi wewe?Kakiweka full ni kazuri jamani [emoji7]
Kwa sababu unatakiwa upate mwanamke mzuri kuliko wewe.[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee. Sasa kwanini sina gal... au ndio mapenzi pesa sio sura
Oneni jamani..Naona mnanucgukulia kama katoto fulani eh. Hpo nilikua tu niko 20 vindevu hakuna. Now days View attachment 1253901
Niliporomosha ile lugha,akajua tayari Mimi Ni ustadhaat ,Tena kwa yule bwana[emoji1787]
Mimi nilivyo mgumu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]amekuzidi hadi wewe?
Hata sasa anatuona.
Anapita kimya...ila ameshasema anaona tunavyomsema[emoji1787]
Six packs jeeNaona mnanucgukulia kama katoto fulani eh. Hpo nilikua tu niko 20 vindevu hakuna. Now days View attachment 1253901
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaani hawa wanaume wa siku hizi sijui wanatutakia nini kuzaliwa wazuri kuliko sisi dada zao kuna mmoja juzi juzi hapa alituma picha yake mtoto wa kiume ana miguu mizuri kuliko hata mie mtoto wa kike jamani looh
Na tunaendelea kumsema[emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]atajua mwenyewe asitutishe
Sasa akiweka full mtashangaa.
Kazuri hako
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mie ningekuwa kwenye kamati ya nyimbo tu ila kabla ya kuanza kupiga kaswida ningepiga kwanza ile "dada huyo ameolewa,, mahari ishatolewa.."
This is not about being bad nor naughty boy, it's about you to act strong.Kama ni inborn instincts nature haiwezi nibadiri! Nishakubali kua ndivyo nilivyoumbwa. I don't fit to be bad/Naughty
Mbona aliweka hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kumbe?? Sasa kwanini hukuniambia siku zote?? Kizuri kula na nduguyo dada wewe!! Yaani ulinitambulisha wote ila huyo ukamficha uliogopa nitakuibia!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Niko hivo maishani basi tu huku tunajimwambafy
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]Kumbe?? Sasa kwanini hukuniambia siku zote?? Kizuri kula na nduguyo dada wewe!! Yaani ulinitambulisha wote ila huyo ukamficha uliogopa nitakuibia!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kweli.This is not about being bad nor noughty, it's about you to act strong.
SanaNimekaona. Ka cute[emoji13][emoji13][emoji13]