Selfika na JF: Snap it. Show it

Weee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ilinitoka 80k Shougaaa angu, nilipata 2, sitaki Unyonge kabisaaaa.

Na nilijua lazima utetemekee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Weeehh hio Shepu lazima niteteme shos wewe ni noumaaaa!!
 
Aliekuroga unajua keshakufa lakini!????🀣🀣🀣🀣🀣🀣!!
🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Bado hajafa..ila yupo kitandani hoi..waleo wakesho
 
Naona
Naona keshakufa zamani wewe kupona tena sijuiiiiiπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚!!
🀣🀣🀣🀣🀣
Embu ngoja kwanza nikaulize πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Rumaiya ndio tuseme umedinda kunibariki nifurahie mchana wangu vizuri!!πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Tumeshtuka saivi sis darling, hatulei tena financially peke yake, we provide and protect halafu tukizeeka madogo wanasema "bila mama nisingefika hapa"[emoji23], tumeshtuka. Now we provide, protect and nurse..the!
Hakuna kitu kinachomjenga mtoto kama upendo wa baba yake. Na kwa wa kike Utamsaidia sana na kumuepusha na mambo mengi sana mabaya huko mbeleni.
 
Ooh ndiyo juzi kazi watu wakawa wanasema Dainamoo amemuita N mke wa sheikh. Makubwaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…