Wewe hauoni huo mdomo na macho. Kama kadada[emoji13][emoji13][emoji13]umenizidi hata mimi uzuri.[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119].
Inaonekana sauti yako ni ndogo na unaongea kama unatia huruma[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halafu mwenyewe yupo humu anatuzoom tu
Niliporomosha ile lugha,akajua tayari Mimi Ni ustadhaat ,Tena kwa yule bwana[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]akajua umeshasilimu??
Umekuaje Auli'i? ?
Bado kidogo ungekuwa kadada[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Walikuwa wanakufanyaje[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]Japo ni ukweli ila haya sio mambo mazuri kujisifia mwanaume....Nilipata shida sana kipindi naishi Zanzibar
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]ndiyo anapita kimya,, jana nilimfuma kwenye likes humu..
Shikamoo inazeesha uaipende kuamkiwa. Inatia umaskini pia
Sasa akiweka full mtashangaa.Umeona eenh?? Kalivyo kamcute!!
Umekuwa wa kistaarabu fulani hivi...
Halafu kenyewe kanajua ni kazuri basi kakipiga picha kanaweka lips hivi (nimeshow kwa vitendo) ili aturingishie.[emoji13][emoji13]Umeona eenh?? Kalivyo kamcute!!
Ndiyo.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]au siyo?? Heshima pesa shikamoo makelele!!
Walikuwa wanakufanyaje[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Kakiweka full ni kazuri jamani [emoji7]Halafu kenyewe kanajua ni kazuri basi kakipiga picha kanaweka lips hivi (nimeshow kwa vitendo) ili aturingishie.[emoji13][emoji13]
Halafu kenyewe kanajua ni kazuri basi kakipiga picha kanaweka lips hivi (nimeshow kwa vitendo) ili aturingishie.[emoji13][emoji13]
Wewe hauoni huo mdomo na macho. Kama kadada[emoji13][emoji13][emoji13]umenizidi hata mimi uzuri.[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119].
Inaonekana sauti yako ni ndogo na unaongea kama unatia huruma[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Yesu wangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hujaviona vizuri
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]. Inabidi uwe mgumu sasa.Acha umbea[emoji23][emoji23][emoji23]
Basi tu kule wakikuona mpole hafu sio mgumu kihivo wanajua ni mboga
Wepi hao?
Hakika[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]itakuwa niliviangalia kwa wasiwasi eti