Hivi ile siku sokukufungashia kwani ??? Naiona ssasa???🤔🤔🤔Hii simu tangu idondoke juzi imekua na ujinga fulani hivi sio poa kabisa!!Naomba na mimi nilale mkuu
VochaUnataka nini mtoto mzuri [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂🤣🤣🤣🤣 ukweri ukweri mtupu shougaa udugu kujaliana mamy!!
Tulia hivohivo nafanya manuva ile siioni tena!!@antonniah
Toa vocha mkuu, usijisahaulishe[emoji1787]Unataka nini mtoto mzuri [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sahau huku shibehadi basi, mijitu inatem ea inacheua barabarani hatari😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ndio nimeanza na njaa itaanzia mkoa uliopo🤣
NdioKichaa wewe[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nipo Namtumbo huku,jamaa yupo majuu.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sema nimewahiwa tyr.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] matumizi ya binadamu.
Hilo tu? Fungua pm nikutumieVocha
Wachaaa weeeh...nikuje Basi huko huku nilipo njaa tupu ukibeua n'gonda huyu hapaSahau huku shibehadi basi, mijitu inatem ea inacheua barabarani hatari😂😂
Mie kulinichosha kuleHahahaha
Wajinga kweli yaani sijui wana akili gani
Yaani kule wananikera wasione mtu una account yako umefikisha vifollowers .
HayaHilo tu? Fungua pm nikutumie
Niahidi hutonuna tena🤣🤣🤣Wachaaa weeeh...nikuje Basi huko huku nilipo njaa tupu ukibeua n'gonda huyu hapa
Nipo hapa😍
[emoji23][emoji23] inahitaji moyooooTumeambiwa kupenda ni kihere here chetu eti tuwatii [emoji2][emoji2] au mimi ndio sielewi
Aaahh.. kununa kupo palepale..siezi acha kukununia babalai...nasema sieziiij..woiiiiiNiahidi hutonuna tena🤣🤣🤣