Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,301
Yaani vibonge akinuna ukimbeleza kidogo ashakukumbatia...anakusemesha..afu usirudie baby🤣🤣🤣Asanteee [emoji1732]
Yaani vibonge akinuna ukimbeleza kidogo ashakukumbatia...anakusemesha..afu usirudie baby🤣🤣🤣Asanteee [emoji1732]
ahaaahaha🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️Namna hio nsielewe kinetics kweli
Hilo nundu, hadi ubongo unamwagika hakyanani!!✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️
Ah sawaMie kulinichosha kule
Iko wapi iko wapii....Antonnia dadekiiii picha la kuikaribisha siku mpyaaa hiyo😍😍😍😍😍😍...mamamaaa Nyieee Mungu fundi... ahsante Sana kipenzi
Uwe na usiku mzuri❤️
Vimbaumbau ni mpaka kielewekeee [emoji23] ukizingua nipo na weweYaani vibonge akinuna ukimbeleza kidogo ashakukumbatia...anakusemesha..afu usirudie baby[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi ninyi na @atonnia ni ndugu?Mnoooooo
Mweh!! 😜😜😉😉😉!!Hilo nundu, hadi ubongo unamwagika hakyanani!!
Yeah unabaki kuumia moyo tu wewe .. mara 100 uwe single ujue moja .Yeeah kama hupendwi bora ukae pembeni tu.. kuliko kulishikilia lijitu la kukupotezea muda
Mwee mwee tena akinuna kama anataka kufa vile...utabembeleza hadi uishiwe maneno🤣🤣🤣Vimbaumbau ni mpaka kielewekeee [emoji23] ukizingua nipo na wewe
Unanichekesha kusudi nikuchekee au siyo?Hivi ninyi na @atonnia ni ndugu?
Nawe niliona umepost zigo ...angeona kipozeo ungekoma🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣Ndiyooooo...Duuh umesifia hadi basi jinga wewe😅😅😅
Umetokelezeaaa
😂😂😂😂.....Shukrani kipenzi ♥️sema nene sisahau kutupasia wa akiba tunachacha wenzio 😜😜😜😜😉😉😉!!😴😴😴😴😴😴😴✋✋✋✋✋✋♥️😘😘
EheeYeah unabaki kuumia moyo tu wewe .. mara 100 uwe single ujue moja .