Selfika na JF: Snap it. Show it

Kiwanja Cha mke nyumba ya mume,mke kaomba talaka mahakamani na mahakama ikaamuru mke abaki na kiwanja chake na mume ahamishe nyumba yake,mke kwa uzuzu akashangilia.Mume akaja na huo mtambo kuhamisha nyumba yake,mke abaki na kiwanja chake.

#glorysiahrimoyView attachment 2264801
Your browser is not able to display this video.
 
Sisi wakubet tunaita BTS YES✅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…