Ko Dr akakuchokoroa kunako? Afu baadae ulivyotoka akalamba dole lake.Bwana nilienda hiyo hospital nilikua napata discharge za ajabu ajabu dr akanambia inatakiwa achukue hayo maji maji wenyewe wanasema kuotesha sijui ajue shida ipo wapi lkn siku hiyo nilikua mkavu tu. Dr akaniambia basi inabidi atumie vidole aingize huko heee nikajiuliza kwa nini kidole wakati kawaida najua wanatumia vile vidude kama cotton buds nikasema wacha nimsikilize siwezi bishana na yeye ndio anajua analolifanya akanambia nilale kwene kile kitanda vinavyokuaga kwenye vyumba vyao.
Basi akawa anaingiza vidole nkaanza kuona hali inabadilika anakazana tu kuingiza vidole nikamuambia naumia kama hakuna namna basi nije siku nyingine ananiambia subiri. Nikasema leo yatanikuta makubwa lakin nashukuru hakunifanya lolote badae akaacha akaniambia kapata kiasi atatumia hayo hayo nivae nisepe. Nilijiskia vibaya + aibu kunichungulia muda wote huo wakati kulikua na namna nyingine tena rahisi tu.
Nje ama hapa kwetu?Consultation fee unalipa ngap?
[emoji23][emoji23] we coca weweKo Dr akakuchokoroa kunako? Afu baadae ulivyotoka akalamba dole lake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Dr ana balaaa huyo lol.
Wanahudumia vizuriYes, wenzetu wapo vizuri hawalipui lipui mambo kama huku kwetu.
SahihiNa wagonjwa wa siku izi Google nyingi mnakuja na knowledge zenu za Google hamuambiliki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dr badala achome sindano yeye anapapasa tako kwa chini kidogo nyuma ya paja, alichokutana nacho hatasahau,[emoji23][emoji23] we coca wewe
Unayolipa wewe kumuona drNje ama hapa kwetu?
Wee mtoto nimekushindwa [emoji23][emoji23][emoji114][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dr badala achome sindano yeye anapapasa tako kwa chini kidogo nyuma ya paja, alichokutana nacho hatasahau,
Etii Oooh mbna km unalika, nalika ya nyokooooooo msieeeeew
Itategemea na hospitali na nahitaj kumuona dr yupi. Kwa nini umehoji?Unayolipa wewe kumuona dr
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee sio sex n porno, afu alikua anatakaga tu ji record, mxxieww nilikua namgomea mbna.Alikufanyaje [emoji2][emoji2]
Ma Dr wengine Wehu, dawa yao kuwafanyia uchizi tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wee mtoto nimekushindwa [emoji23][emoji23][emoji114]
[emoji1787] kiranga chote komooo. Watu wanaopenda kujirekodi naona hamnazo na tutaachana siku hiyo hiyo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee sio sex n porno, afu alikua anatakaga tu ji record, mxxieww nilikua namgomea mbna.
Nilikua nawahi mie hotelin, asije awahi yeye akategesha camera zake afu sijui wee, khaaaaah sitaki kabisaa mzungu,.
Doctor patient ratio yenyewe ni mtihan mtu mmoja attend watu 120 jamanItategemea na hospitali na nahitaj kumuona dr yupi. Kwa nini umehoji?
[emoji2][emoji2]Ma Dr wengine Wehu, dawa yao kuwafanyia uchizi tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Notifications kama kawa zimekata [emoji57]Hii JF mpya inagoma goma nayo[emoji119]
Hamna kazi apaNotifications kama kawa zimekata [emoji57]
Kiranga chote komooooo, wazungu hawana maana kabisaa, wala sio wa kuhangaikia michosho tupu. Woiiiiiiiiih.[emoji1787] kiranga chote komooo. Watu wanaopenda kujirekodi naona hamnazo na tutaachana siku hiyo hiyo.
Ah nimeipenda