Selfika na JF: Snap it. Show it

 
Lazima utoe nguo

Dah maisha haya😂

Sijui hata nilijisikiaje,kuchunguliwa msala sana.
 
Mimi niliwahi kupiga x-ray ya kifua..Dah yule Kaka alinichungulia kifua changu 🤣 Mweee..anakuja kuniweka kile kibao vizuri ,
Akiyanani..ikabidi nijikaze tu kuchunguliwa😒
Hahah ...mimi siku moja hivohivo
bana kwenyee x ray ya hapa kwenye nyonga bana sijui ndio dokta wa x ray yuko anataka kufanya taaluma yake nimelala pale kitandani akaanza kunishika huku juu kifuani alihisi shida yangu ya kifua nikamwambia hapana dokta sio huku ni hapa dokta!!
Yani ananiangalia hio x ray huku namuona kabisaaaaa kadindisha imevimba vibaya weeeeeeeehhh niliogopa sana !!
 
Ah hicho balaa
Nimekumbuka mdada mmoja aliambiwa afanyiwe sasa yule nurse wa kiume akamuambia twende nitoe yule dada alikataa .. akamwambia nipe nitaleta .
Hata ningekuwa Mimi ningekataa.

Kuna siku nimeenda hosp kutibiwa,,nikapewa sindano..nilidhani wataanichoma matakoni..
Nikajiwahi mapema nikamwambia namtaka Nurse wa kike anichome.
Yule kaka akawa mkali,anasema unaumwa halafu inachagua mtu..nikamwambia ndiyo..
Nileteeni Nesi wa kike,
Nileteeni Nesi wa kike,
Nileteeni Nesi wa kikeeeeee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…