Get well ASAP..Oooh Wigelekelo nashukuru kwa kunikumbuka. Niko naumwa jamani, hoi taabani. Mpaka kuingia huku nashindwa kabisa. Nina dozi ya sindano[emoji382]
Hahahahah, kumbe kisukuma kigumu hivyo! Wachs niongee kidaslamu basi unielewe mama.Duh sijakuelewa
Hukuangalia ICU? πππUnyonge dhambiππ
Faiza kafanyaje nimepitwa
Anza kuweka yako mkuu uisalimie selfika after a Long time sasa!!Naombeni na mie tupicha nisafishege tumacho twangu maana kitambo sijatembeleamo humu. Ka weekend spesho
OkayHahahahah, kumbe kisukuma kigumu hivyo! Wachs niongee kidaslamu basi unielewe mama.
Hahahah mzee wa kamatia fursaDahhh napendaga walimu wapya wanavyozurura hawana maelekezo yeyote unajivutia mmoja unaishi naye
Kuna marubani pia humuπWadada wote wako na vyuraaa
Wote wako na rangi tamu βwhite na chocolateβ¦
Wote wako na miguu za biaπ€£
Wakaka wote wako na funguo za Toyota
Wote walisoma MA abroad π
Ni ma meneja na ma incharge..
Unyonge hukooo unakodaiwa bills ππππΊπΊπππ
Okay
Jana naingia ndio inaishia.Hukuangalia ICU? πππ
Tafuta marudio..
Natumia PC kasimu kangu walinisaidia kutunza wahuni flani.Anza kuweka yako mkuu uisalimie selfika after a Long time sasa!!
Ugua pole dearOooh Wigelekelo nashukuru kwa kunikumbuka. Niko naumwa jamani, hoi taabani. Mpaka kuingia huku nashindwa kabisa. Nina dozi ya sindano[emoji382]
Pole sanaOooh Wigelekelo nashukuru kwa kunikumbuka. Niko naumwa jamani, hoi taabani. Mpaka kuingia huku nashindwa kabisa. Nina dozi ya sindano[emoji382]
Jirani hongera, unamshushia mtu mistari...Ndiriri! ndiriri! ndiriri! ndiriri! ndairi!
Ndiriri! ndiriri! ndiriri! ndiriri! ndairi!
Naitoshe kusemaaa..
Mimi na ku pendaa sanaa..
Na nashindwa kuhemaaa..
Utamu ya ma nyama nyama ..nyamaaa..
Oya baby come come
Nataka nikuonyeshe mashamsham
My honey heβs so sweaty
Yani tamu tamu
If he sing a song mi najam jam mmh
Eh! π€ π€ Lenie πΊ πΊ π
Na ma Eng π€£π€£Kuna marubani pia humuπ
Asante kipenzi. Niombeeni nipone Kwa haraka nije nilete mrejesho wa mazoezi [emoji28]Pole Queen
Ugua pole dear
Yani alafu kila mtu ana hela umu kasoro mimiNa ma Eng π€£π€£
Na ma dakitare wale ma spesholist
Na kuna wewe π π nitaje?
Salama tu vipi wewe ?Uko poa lakini?
Mkuu hebu nitag basiKwa mzigo huu sidhan kama Kuna semina yeyote inakupita [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Hela huna? Ilo bando wanagawa wapi bure? ππYani alafu kila mtu ana hela umu kasoro mimi