Lenie JF-Expert Member Joined Aug 3, 2012 Posts 17,221 Reaction score 50,171 Jun 18, 2022 #220,201 Depal said: Watu wa hapa? Sifa za mchongo ndio zimejaaa ππππ Click to expand... Aah hawa tena!πππ
Depal said: Watu wa hapa? Sifa za mchongo ndio zimejaaa ππππ Click to expand... Aah hawa tena!πππ
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,021 Reaction score 177,343 Jun 18, 2022 #220,202 genetic said: Ww hapo binti wa kibantu kbsa mwanaume yeyote lzma ageuke Click to expand... kamera tu mkuu siunajua mambo ya filters!
genetic said: Ww hapo binti wa kibantu kbsa mwanaume yeyote lzma ageuke Click to expand... kamera tu mkuu siunajua mambo ya filters!
Dormant Account JF-Expert Member Joined Apr 5, 2022 Posts 11,307 Reaction score 32,791 Jun 18, 2022 #220,203 Antonnia said: kamera tu mkuu siunajua mambo ya filters! Click to expand... Hujaenda kwenye sensa Madame
Antonnia said: kamera tu mkuu siunajua mambo ya filters! Click to expand... Hujaenda kwenye sensa Madame
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,524 Reaction score 203,287 Jun 18, 2022 #220,204 genetic said: Cheupe hko anapaka rangi mwenye kucha ndefu huyo najua ww hupend kucha ndefu Click to expand... Ushapoteana..
genetic said: Cheupe hko anapaka rangi mwenye kucha ndefu huyo najua ww hupend kucha ndefu Click to expand... Ushapoteana..
Dormant Account JF-Expert Member Joined Apr 5, 2022 Posts 11,307 Reaction score 32,791 Jun 18, 2022 #220,205 Lenie said: Aah hawa tena! Click to expand... @Lenie nibless lips tu jaman
Dormant Account JF-Expert Member Joined Apr 5, 2022 Posts 11,307 Reaction score 32,791 Jun 18, 2022 #220,206 Depal said: Ushapoteana.. Click to expand...
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,524 Reaction score 203,287 Jun 18, 2022 #220,207 Lenie said: Aah hawa tena!πππ Click to expand... πππ kuna kitu nimekumbuka, nimechekaaa
Lenie said: Aah hawa tena!πππ Click to expand... πππ kuna kitu nimekumbuka, nimechekaaa
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,021 Reaction score 177,343 Jun 18, 2022 #220,208 genetic said: Hujaenda kwenye sensa Madame Click to expand... Sensa bado nadhani ratiba ratiba zake zinaanza mwezi july wee nimeomba pia hata kama hela ndogo Ivoivo!!
genetic said: Hujaenda kwenye sensa Madame Click to expand... Sensa bado nadhani ratiba ratiba zake zinaanza mwezi july wee nimeomba pia hata kama hela ndogo Ivoivo!!
Dormant Account JF-Expert Member Joined Apr 5, 2022 Posts 11,307 Reaction score 32,791 Jun 18, 2022 #220,209 Antonnia said: Sensa bado nadhani ratiba ratiba zake zinaanza mwezi july wee nimeomba pia hata kama hela ndogo Ivoivo!!! Click to expand... Angalia usikutane na ngoswe
Antonnia said: Sensa bado nadhani ratiba ratiba zake zinaanza mwezi july wee nimeomba pia hata kama hela ndogo Ivoivo!!! Click to expand... Angalia usikutane na ngoswe
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,524 Reaction score 203,287 Jun 18, 2022 #220,210 Lenie said: Last week sijaangalia, imenipita hiyo. Ila alikua na ubabe sana af akataka kuwadhulumu wale waliompa sapoti. πππ ilikua inamuuma wenzake kula mali alizochuma na mumewe, haijui dini huyo atakua Click to expand... Saa 1 hujafika nyumbani? Unapitaga wapi ππ Ni mbabe bado, ila washamkomesha kwa kumuibia karatasi na simu.. sahivi anahahaβ¦ Sasa inakuuma nini? Na wakati mtaendelea kuzichuma nyingine zijae? Wake wenzKe si walikuwa wanafanya kazi shambani piaβ¦
Lenie said: Last week sijaangalia, imenipita hiyo. Ila alikua na ubabe sana af akataka kuwadhulumu wale waliompa sapoti. πππ ilikua inamuuma wenzake kula mali alizochuma na mumewe, haijui dini huyo atakua Click to expand... Saa 1 hujafika nyumbani? Unapitaga wapi ππ Ni mbabe bado, ila washamkomesha kwa kumuibia karatasi na simu.. sahivi anahahaβ¦ Sasa inakuuma nini? Na wakati mtaendelea kuzichuma nyingine zijae? Wake wenzKe si walikuwa wanafanya kazi shambani piaβ¦
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,021 Reaction score 177,343 Jun 18, 2022 #220,211 genetic said: Angalia usikutane na ngoswe Click to expand... Hahahaaahahaaaaaa! Umenikumbusha zamani sana kiswahili Ngoswe penzi kitovu cha uzembe!
genetic said: Angalia usikutane na ngoswe Click to expand... Hahahaaahahaaaaaa! Umenikumbusha zamani sana kiswahili Ngoswe penzi kitovu cha uzembe!
Dormant Account JF-Expert Member Joined Apr 5, 2022 Posts 11,307 Reaction score 32,791 Jun 18, 2022 #220,212 Antonnia said: Hahahaaahahaaaaaa! Umenikumbusha zamani sana kiswahili Ngoswe penzi kitovu cha uzembe! Click to expand... Ila walimu mmejazana kwenye sensa jaman hamna huruma na sisi jobless
Antonnia said: Hahahaaahahaaaaaa! Umenikumbusha zamani sana kiswahili Ngoswe penzi kitovu cha uzembe! Click to expand... Ila walimu mmejazana kwenye sensa jaman hamna huruma na sisi jobless
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,021 Reaction score 177,343 Jun 18, 2022 #220,213 genetic said: Ila walimu mmejazana kwenye sensa jaman hamna huruma na sisi jobless Click to expand... Walimu masikini wenye njaa kali kama sie ndio tumejazana sio sensa tu kwenye shughuli kibao za serikali!!ππππ€π€π€
genetic said: Ila walimu mmejazana kwenye sensa jaman hamna huruma na sisi jobless Click to expand... Walimu masikini wenye njaa kali kama sie ndio tumejazana sio sensa tu kwenye shughuli kibao za serikali!!ππππ€π€π€
M Mjep JF-Expert Member Joined Oct 28, 2014 Posts 11,721 Reaction score 34,881 Jun 18, 2022 #220,214 Antonnia said: Mpaka Mjep aje mie Kurudia rudia sitaki mwite basi! Click to expand... Nimefika boss lady please do the needfull
Antonnia said: Mpaka Mjep aje mie Kurudia rudia sitaki mwite basi! Click to expand... Nimefika boss lady please do the needfull
spidernyoka JF-Expert Member Joined Jan 2, 2020 Posts 8,029 Reaction score 21,532 Jun 18, 2022 #220,215 Depal said: Watu wa hapa? Sifa za mchongo ndio zimejaaa ππππ Click to expand... We ni lizuri bhn no doubt
Depal said: Watu wa hapa? Sifa za mchongo ndio zimejaaa ππππ Click to expand... We ni lizuri bhn no doubt
Dormant Account JF-Expert Member Joined Apr 5, 2022 Posts 11,307 Reaction score 32,791 Jun 18, 2022 #220,216 Antonnia said: Walimu masikini wenye njaa kali kama sie ndio tumejazana sio sensa tu kwenye shughuli kibao za serikali!! Click to expand... Hahaha Sema kwenye kusimimamia mitihan na kuisaihisha mnapataga shavu
Antonnia said: Walimu masikini wenye njaa kali kama sie ndio tumejazana sio sensa tu kwenye shughuli kibao za serikali!! Click to expand... Hahaha Sema kwenye kusimimamia mitihan na kuisaihisha mnapataga shavu
M Mjep JF-Expert Member Joined Oct 28, 2014 Posts 11,721 Reaction score 34,881 Jun 18, 2022 #220,217 Antonnia said: Mjep bado upo?? Nataka nipite nakeddd ni shwaaa dakika sifuri nayeyuka! Click to expand... Nimefika madam ebu tuone hiyi nakked
Antonnia said: Mjep bado upo?? Nataka nipite nakeddd ni shwaaa dakika sifuri nayeyuka! Click to expand... Nimefika madam ebu tuone hiyi nakked
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,021 Reaction score 177,343 Jun 18, 2022 #220,218 genetic said: Hahaha Sema kwenye kusimimamia mitihan na kuisaihisha mnapataga shavu Click to expand... Umesahau uchaguzi mkuu!!πππ walimu tuna tabu tupu;πΆπΌββοΈπΆπΌββοΈπ
genetic said: Hahaha Sema kwenye kusimimamia mitihan na kuisaihisha mnapataga shavu Click to expand... Umesahau uchaguzi mkuu!!πππ walimu tuna tabu tupu;πΆπΌββοΈπΆπΌββοΈπ
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,021 Reaction score 177,343 Jun 18, 2022 #220,219 Mjep said: Nimefika madam ebu tuone hiyi nakked Click to expand... Hahahaaa!! Haya usitoke sasa sitarudia tena kukuita!!
Mjep said: Nimefika madam ebu tuone hiyi nakked Click to expand... Hahahaaa!! Haya usitoke sasa sitarudia tena kukuita!!
Dormant Account JF-Expert Member Joined Apr 5, 2022 Posts 11,307 Reaction score 32,791 Jun 18, 2022 #220,220 Antonnia said: Umesahau uchaguzi mkuu!! walimu tuna tabu tupu; Click to expand... Walimu mna raha sana hivi ajira mpya mmeshapata
Antonnia said: Umesahau uchaguzi mkuu!! walimu tuna tabu tupu; Click to expand... Walimu mna raha sana hivi ajira mpya mmeshapata