Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,307
- 32,790
Kama unamjua huyo mbinguni utapasikia tuUko mwaa
Kama unamjua huyo mbinguni utapasikia tuUko mwaa
Wapare wote watashangaa



Haha kwani sheta?Kama unamjua huyo mbinguni utapasikia tu
Embu anitumie mpare mwenzake hapa nione
Eti ERoni ni kweli?
Hebu mtoe Elli,,,Alishatuwekea vocha humu na ni mpare.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Hee!Embu anitumie mpare mwenzake hapa nione
Sijambo, habari yako?Mtoto mzuri hujambo?
Naku zoom tu
Ulikubaliana na nani ushindwe ww mwanamke pepo tokaHee!
Si tulikubaliana vocha wanachukua wanawake tu!?
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
HuyuKama unamjua huyo mbinguni utapasikia tu

Itakua ndyo huyo namuona tu hapa kitaaHuyu
Ndio yule wa connection![]()


Aisee...Tanga siijui hata kidogo…
Zaidi ya kupita pita hapa na pale…
Kwani yule kaka mrefu handsome, rich na mwenye sauti nzuri yuko wapi?
Yule Tanga iko mkononi mwake Saint Anne
Uwiii jamani jiraniii 🙈Aisee...
Sisi ni kina nani? Mbona hakuna sehemu tunafit??Be intelligent or else strong !View attachment 2264027
Nini itatuna Mama Mchungaji?Kwamba na mimi nikijaribu itatuna hivyo?






Jirani za usiku..