Hahaha changamsha bongo ilo… yuleee i know you know him, we bana wee.. yule mrefu 🤓
Mwili wastani..
Manager…sijui ila ni in charge..
Rich..
Married…
Ng’mbo …
Sanasana vumbi na uvundo.
Nguo ikikaa muda mrefu bila kuvaliwa lazima niitoe nikiwa nimevaa barakoa na nifue..
Nikitoa kwenyw bag kavu kavu basi lazima niimbe pambio zote usiku.
Yaani vyote vinavyohisiwa kupelekea hii hali niliacha lakini wapi!