Selfika na JF: Snap it. Show it

Faraghani ni sehemu ya kukutania/ibadani kwa wana-Uwata. Dress code ya wanawake ni short hair(hapo umeweza) na nguo za marinda.

Hapo umeonesha kwamba kwenu kuna wakubwa
Ooh sawa… nina marinda bana, sijakengeuka sana.

Hiyo yenyewe nikivaa na belt rinda zinatokea maana ni bonge la loose dress.. na fundi hakubania kitenge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…