Selfika na JF: Snap it. Show it

Sasa unakunywa wewe au mimi? mishikaki ya 200 hio hapana, hivi we unataka picha yangu kuna usalama kweli?
 
Kuna kile kisehemu ukiwa unataka tu kuingia Tokyo centre, nilikulaga vile vimishkaki, pembeni Wana pilipili na tangawizi na vitunguu swaumu; sijui kupo Bado?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…