Mwenyewe mekwama kabisaa!Ila huu uzi unarudisha maendeleo yangu nyuma yaani siku hizi najikuta sisomi tena nyuzi nyingine humu jf nashinda kwenye huu uzi tu,, maana kila nikiingia kwenye notifications nakuta "fulani liked your post in selfika na jf snap it show it" au "fulani quoted your post in selfika na jf snap it show it"..
Hadi nimalize kulike na kuquote comment zao tena tayari siku imeisha na ninakuwa nimeshachoka kiasi cha kushindwa kuendelea kusoma nyuzi nyingine,, daah ninyi wadau mlioweza ku get over this thread naombeni siri ya mafanikio maana mimi sijui nakwama wapi msaada wajameni..
Ila huu uzi unarudisha maendeleo yangu nyuma yaani siku hizi najikuta sisomi tena nyuzi nyingine humu jf nashinda kwenye huu uzi tu,, maana kila nikiingia kwenye notifications nakuta "fulani liked your post in selfika na jf snap it show it" au "fulani quoted your post in selfika na jf snap it show it"..
Hadi nimalize kulike na kuquote comment zao tena tayari siku imeisha na ninakuwa nimeshachoka kiasi cha kushindwa kuendelea kusoma nyuzi nyingine,, daah ninyi wadau mlioweza ku get over this thread naombeni siri ya mafanikio maana mimi sijui nakwama wapi msaada wajameni..
Mwenyewe mekwama kabisaa!
Najikuta naganda humu tuu!
Naona unatupia likes tu......umeona sasa hiyo ndo kazi yangu sio ile nyingine ile MT ππππMwenyewe mekwama kabisaa!
Najikuta naganda humu tuu!
Tukio la mshubate lilinitoa kwenye huu uzi automatically [emoji41]
Mimi nafurahia neema za Allah[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]wewe mwenzangu na mimi tu wote tumeshindwa kujinasua kwenye hili janga,, tuombe msaada aiseee au wewe unatamani kuendelea kubaki??
HahahahahNaona unatupia likes tu......umeona sasa hiyo ndo kazi yangu sio ile nyingine ile MT [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwao ????Shem wangu DiasporaUSA yupo uko kwenu Ngabu
ππTunasubiri
Nina mashaka na weweThe thing goes skrrrrrrah papapa pa
Hivi kabla hajastukiwa hata mwandiko wake ulikuwa una sound kama manzi ?Tukio la mshubate lilinitoa kwenye huu uzi automatically [emoji41]
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Ngoja na mimi leo nijimwambify humu kwa kutupia
NakaziaTunasubiri
Kuna mwingine nilimshtukia janaHivi kabla hajastukiwa hata mwandiko wake ulikuwa una sound kama manzi ?
Jizazi πππππππππ
Hivi kabla hajastukiwa hata mwandiko wake ulikuwa una sound kama manzi ?
Yupi huyo ?Kuna mwingine nilimshtukia jana