Selfika na JF: Snap it. Show it

U
Nimekuambia nilipiga picha kwan? Utulie kwan nawee. Lol.
Unaachaje kupiga wee photogenic naweeh!!πŸ€”πŸ€”πŸ€”
nikalale sasa have a good night shos!!πŸ˜˜πŸšΆπŸΌβ€β™€οΈπŸšΆπŸΌβ€β™€οΈβœ‹πŸšΆπŸΌβ€β™€οΈπŸšΆπŸΌβ€β™€οΈπŸšΆπŸΌβ€β™€οΈπŸšΆπŸΌβ€β™€οΈ
 
Kinyoonge mwanangu jamn poleee
 
mwanaume pekee anapaswa kumtunza mwanamke, au mwanaume pia anapaswa kutunzwa na mwanamke?
Nimewahi kuwa natumiwa tu hela ghaflaghafla kwenye simu licha ya kuwa namzidi kipato, mara 10K ya vocha mara utakunywa soda bila hata kuomba na wala yeye haombi, aiseeh ilifikia hatua unatumia ila unaona aibu..Basi ikawa ni kuviziana na kila mmoja anatuma tu akijisikia. Yule mwanamke alikuwa ananipenda bwana.

Alikuwa ni mwalimu mkuu wa shule fulani ya msingi, Tinah nakukumbuka sana
.

Mimi naamini kuna watu wanakula hela za wanawake bila kutumia nguvu, ni akupende tu afu awe nazo.
 
Kuna wakati hata pro anajaribiwa, unakuta kitu inateleza tu hadi unajisahau unaona itaendelea kutema..ghafla moto unawaka🀣🀣🀣
Kuna siku nilipiga $1,800 kimchezo
Naona nzuri nikuwa na standard za kiuchumi harisi. kwa mfano kwa hata ukiwa unatengeza 5% au 2.5% ya investment poa kabisa. Hapa itategemea kuna mzigo kiasi gani. kama una $ 10,000 maana yake 5% yake ni $ 500 ambayo ni rahisi sana kuipata kwa huo mtaji hata kama utatengeza kwa wiki $ 2000 sio mbaya kwa uchumi wa kitanzania .. shida inaanzaga mtu anataka mzigo mzito.. kwa sasa hivi napambana kwa siku $ 250. Risk inakuwa ndogo sana kwa siku hiyo hela kwa uchumi wetu ni nyingi sana
 
Uko sahihi sana...nafikiri std nzuri kwa hii kazi ni 20% ya mtaji.
Hii haihatarishi capital yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…